Kuhusu sisi

TODAYSKY
TODAYSKY COMPANY LIMITED, ni kampuni iliyosajiliwa na Mamlaka ya usajili wa biashara na leseni (BRELA) na kupewa namba 138-642-410. Kutoa huduma za uundaji wa mifumo (software development) na kutoa ushauri wa kitaalamu.
Huduma zetu

Tunasaidia taasisi , makampuni na watu binafsi kuunda mifumo inayoongeza ufanisi wa kutoa huduma. Tunao uwezo wa kutengeneza website (tovuti) na aplikesheni za simu

Tunawezesha mifumo mbalimbali kuwasiliana. Kwa mfano mfumo kuunganishwa na huduma na SMS, huduma za malipo za Mpesa, Tigo Pesa, Airtel Money na benki

Kampuni yetu hubuni mifumo mbalimbali ambayo inaendana na mahitaji halisi ya watumiaji. Kwetu mfumo si tu ufanye kazi bali uweze kuendana na watumiaji.
Ubunifu wetu
Kampuni yetu imebuni mifumo mbalimbali ambayo inasaidia jamii kutatua baadhi ya changamoto, kwa njia ya kidigitali. Ifuatayo ni baadhi ya mifumo iliyobuniwa na kampuni yetu.

SkyMkoba
Hii ni aplikesheni maalumu kwa ajili ya kusaidia utunzaji wa kumbukumbu za mapato,matumizi na mauzo katika biashara
SOMA ZAIDI
SkyMicrofinance
Inakuwezesha kusimamia biashara ya kukopesha, vikundi na watu binafsi, kujua riba na tarehe za marejesho
SOMA ZAIDI30+
Projects
8000+
Customers
6+
Products